Wavua nguo hadharani kukwepa mkono wa sheria

Dereva wa daladala na kondakta wake kutoka nchini Nigeria wametoa kali ya mwaka jana baada ya kuvua nguo na kubaki watupu wakikwepa trafick wasiwakamate na kuchukua gari lao baada ya kuvunja sheria za barabarani!

Baada ya kufanya hivyo inasemekana ilisaidia baada ya trafiki hao kuondoka haraka eneo hilo na kuacha umati wa watu wakishangaa tukio hilo


0 Maoni:

Toa Maoni