Miley Cyrus aachia video yake.. yupo uchiii!

Baada ya kugeuka gumzo katika usiku wa MTV Video Awards alipopanda jukwaani na  kupafomu na Robin Thicke,perfomance iliyowaacha watu vinywa wazi kutokana vituko vya style ya uchezaji (cheki picha chini),sasa Miley Cyrus ameachia video inayomuonyesha yuko uchi kabisa!
Akizungumzia perfomance hiyo anasema anajivunia maana iliibua mjadala mkubwa! ''Smilers! My VMA performance had 306.000 tweets per minute. That's more than the blackout or Superbowl! .'' ali-tweet Miley.

Mwanamuziki huyo mwenye miaka 20 tu ameachia video yake hiyo Wrecking ball inayomuonyesha asilimia kubwa yuko uchi kabisa.Cheki clip za video hiyo.

Cheki video yenyewe..

                              

0 Maoni:

Toa Maoni