Kupitia ukurasa wake wa facebook Sugu amefunguka mipango yake baada ya sakata hilo.. "Jmosi hii nitakuwa home mbeya, nitawahutubia watu wangu ambao kimsingi ndio walionituma ili niwaelezee udwanzi wa ndugai na kilichotokea..."
SUGU afunguka baada kutolewa msobemsobe bungeni
Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi amefunguka ikiwa ni siku chache zimepita baada ya sakata la kutolewa nje ya bunge msobemsobe baada ya jaribio la kuzuia askari wa Bunge kutotekeleza amri ya Naibu Spika Job Ndugai ya kumtoa nje Kiongozi wa Kambi rasmi Bungeni Mh. Freeman Mbowe
Kupitia ukurasa wake wa facebook Sugu amefunguka mipango yake baada ya sakata hilo.. "Jmosi hii nitakuwa home mbeya, nitawahutubia watu wangu ambao kimsingi ndio walionituma ili niwaelezee udwanzi wa ndugai na kilichotokea..."
Kupitia ukurasa wake wa facebook Sugu amefunguka mipango yake baada ya sakata hilo.. "Jmosi hii nitakuwa home mbeya, nitawahutubia watu wangu ambao kimsingi ndio walionituma ili niwaelezee udwanzi wa ndugai na kilichotokea..."

0 Maoni:
Toa Maoni