PICHA:Bata zaendelea Times fm!

Baada ya kula bata pale Azura weekend iliyopita jana tena Team Times fm tuliungana tena na wasanii walioshiriki katika show ya Azonto live in Dar na bata zikaendelea kama kawaida tukijimwaga kiwanja cha nyumbani Kawe Beach.
Jana ilikuwa birthday ya Dj Choka so alishrerkea na sisi
Ful kumwagiwa bia
Sinda King na Raheem team Times fm
Dogo Eskide na Mkoloni
Adam akimtunza Dogo Eskide
Gadner na Banana Zoro
Janjaro na Dj Choka
Dogo Janja na Mabeste
Mapacha
Menina
One B
One B na Fredwaa
Monalisa
Joss Bless,Mabeste na Dan Msimamo
Lil Ommy Omary Tambwe
Rose Chitallah na Sandy B

1 comment: