Mwanamitindo ajianika mtupu kisa jua!

Unaambiwa ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni....Mwanamitindo Kate Moss mwenye umri wa miaka 39 ameanika matiti yake hadharani wakati akiota jua huko Jamaica!

Cheki alivyopoz na kujiachia bila hofu!

Inaonekana sio ishu kabisa kwa hao ma-bishosti wa huko mbele kuanika utamu wao hadharani maana juzi tu nilipost picha zinazo mwonyesha Nick Minaj kaanika matiti yake kwenye mtandao bila wasiwasi.

0 Maoni:

Toa Maoni