Kupitia interview waliofanya na redio Cool Fm huko Nigeria P Sqyre walifunguka haya ''Ni maombi tu na kufanya kazi kwa bidii..kabla kuachia album yoyota na kuipeleka sokoni lazima tufunge na kuomba kwa mwezi mmoja..hiki ndicho kinachotuweka kwenye mafanikio..''
Huu ni mfano kwa wasanii hata wa hapa Tanzania jamani mnapopata mafanikio mwe mnamkumbuka Mungu..kufunga na kuomba ni muhimu sio mpaka uwe na shida tu!


0 Maoni:
Toa Maoni