PICHA: Huyu ndiyo wanamke mrembo 'anayeishi' kwa mujibu wa US Magazine..

US Magazine imemtangaza mwigizaji Scarlett Johansen kama mwanamke mrembo anayeishi 'Sexiest Woman Alive'. Hii ni mara ya pili kwa Scarlet kutangazwa ,mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2006.


Cheki picha halafu tubonge kama wakubaliana na hilo..

0 Maoni:

Toa Maoni