Tiwa ame-share picha inayomuoyesha akiwa safarini..
Tiwa Savage anatarajia kufunga ndoa na mchumba na meneja wake pia Tee Billz jumamosi November 23 huko Lagos nchini Nigeria.
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni