Akiwa ni mume sasa Peter Okoye amfagilia mke wake!

Wakiwa ni maharusi wapya bado ambapo jumapili  ndio walifunga ndoa ya kimila baada ya kukaa katika mapenzi kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata watoto wawili,Peter na Lola Omotayo sasa mahaba motomoto!

Kuthibitisha hilo,Peter Okoye ame-share picha nzuri ya mkewe na kumfagilia...Cheki hapo chini!

Na mimi namjibu Peter...Yes she is very beautiful!

0 Maoni:

Toa Maoni