Forbes yatoa list ya wasanii wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi...

Orodha ya 2013 ya wasanii wanaolipwa zaidi duniani imetolewa na Forbes huku mkongwe Madonna akiwa katika nafasi ya kwanza akifatiwa na mwana muziki mwenye vituko visivyoisha Lady Gaga.

Madonna
Lady Gaga
 Icheki list hiyo ambayo ni kutoka mwaka 2012 mwezi june mpaka June 2013.

1. Madonna - $125 million
2. Lady Gaga -  $80 million
3. Bon Jovi - $79 million
 4. Toby Keith - $65 million
5. Coldplay - $64 million.
6.  Justin Bieber - $58 million
7. Taylor Swift - $55 million
8. Elton John - $54 million
9. Kenny Chesney - $53 million
10. Beyonce - $53 million (tie)

11. Sean "Diddy" Combs - $50 million
12. Sir Paul McCartney - $47 million
13. Calvin Harris - $46 million
14. Jennifer Lopez - $45 million
15. Roger Waters - $44 million
16. Muse - $43 million (tie)
16. Rihanna - $43 million (tie)
18. Jay Z - $42 million
18. One Direction - $42 million (tie)
20. Dr. Dre - $40 million
20. Red Hot Chili Peppers ($40 million, tie)
22. Rolling Stones - $39 million (tie)
22. Katy Perry - $39 million (tie)
24. Tim McGraw - $33 million (tie)
25. Pink - $32 million (tie)
25. Tiësto - $32 million (tie)

0 Maoni:

Toa Maoni