Ukiwa unawaza utakula nini wenzio wanawaza bata wapi!

Ukiwa unaamka asubuhi umefulia na kuwaza utakula nini....kuna watu wanakula na kusaza mpaka kumwaga! Ukiwaza nitapata wapi hela nikashone viraka kwenye nguo yangu, kuna watu wanajiulize hii hela nikale bata wapi! Tunaishi dunia moja ila tunatofautiana sana linapokuja swala la kipato.

Kutana na Zhang Jiale binti mwenye muonekeno wa kiume (Tom boy) mwenye miaka 22 mtoto wa mfanyabiashara mkubwa na mwenye pesa Zhang Jun anayeishi maisha ya hali ya juu na ya gharama yalioshangaza wengi na kuchukiza baadhi ya watu waliosema anatumia utajiri huo vibaya!


Akiwa amezungukwa na wasichana warembo kila wakati,Zhang amekuwa akisafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine kila mara kwa kutumia ndege binafsi (private jet) shopping kwenye sehemu za gharama na mengineyo.

Cheki picha zake katika matukio tofauti.
Cheki mambo hayo
Halafu ni msichana huyu..usisahau!

0 Maoni:

Toa Maoni