Huddah Monroe ameanika mjengo wake ambao inasemekana anamjengea mama kwenye mtandao wa Instagram huku akijipa sifa kwa mafanikio hayo.
Mamu africa blog inampongeza Huddah kwa hatua hiyo na huu ni mfano wa kuigwa kuwa tukipata pesa tusikumbuke kula bata tu...tukumbuke na maendeleo wajameni.

0 Maoni:
Toa Maoni