PICHA : Kichuna cha Times fm nawatakia siku njema.

Ahsante kwa kuendelea kutembelea MamuAfrica blog nakuthamini sana kwa hilo japo wapo wanaoingia humu kuchafua hali ya hewa lakini hali bado ni shwari... nakutakia siku njema.

Mke halali kabisaa wa Mr. Clifordmario Ndimbo
Kutoka Times fm kipindi  cha Trending Africa anaitwa Moko biashara
Na mume wangu,baba mwenye mke ah nyumba.. shemeji yenu Mr. Ndimbo

0 Maoni:

Toa Maoni