PICHA: Kim amuonyesha mwanae na kuanika figure yake tena!

Watu bado wana hamu kubwa ya kuona picha za mtoto wa mrembo Kim Kardashian na Kanye West, North (Nori) lakini picha hizo bado ni adimu sana lakini kwa mara nyingine tena Kim ame-share picha ya binti yake huyo ,icheki hapo chini.


Wakati huo huo,Kim amepamba ukurasa wa mbele wa Magazine ya US Weekly lililotoka mwezi huu December na kuanika  figure yake yenye mvuto ndani ya bikini na hiyo ni baada ya miezi sita toka aitwe mama yaani ajifungue.

Mwanadada huyo asiyekauka katika mitandao kila mara amezua gumzo baada ya watu kuibuka na kudai ameifanyia pua yake Surgery ili azidi kuwa na mvuto....hebu cheki hii picha kisha niambie kuna tofauti yoyote unaona?

0 Maoni:

Toa Maoni