PICHA: Tulivyojiachia Dar Live katika tamasha la Mitikisiko ya pwani..

MamuAfrica
Jumamosi tarehe 14 ndani ya ukumbi wa Dar Live Mbagala Zakhiem ndipo lilifanyika tamasha kubwa la taarabu ambalo hufanyika mara moja tu kwa mwaka kwa kuletwa kwako na Times fm 100.5 huku bendi tano za Taarab yaani Jahaza, Mashauzi,Supershine,Khadija Kopa na Five stars zilifanya makamuzi ya kufa mtu siku hiyo.

Jionee picha zaidi watu tulivyojiachia tamashani..

Mie na shemeji yenu tuliwakilisha
Nikiwa na Fatma Chikawe kutoka Times fm Wizara ya michezo
One B 'Moko biashara', Marry na mie
MamuAfrica,Mke halali wa ClifordMario Ndimbo..mie mwenyewe
Nikiwa na dada yangu Saida au kubwa la maadui
Monalisa na Sandy B
Mrs. Ndimbo, Dida The Rocker muke ya Ezden na Hanifa Mulid au Jike la chui
Wake za watu lol
Kutoka redio nyingine watangazaji wenzetu walijitokeza kushow love, kushoto ni Hawa Hassan wa ITV na kulia ni Mwanne kutoka EA Radio
Ummy Suleiman akiwa na Hawa na Mwanne
Malkia wa mipasho na Hawa
Cliford Ndimbo na Monalisa
Malkia wa Mipasho Khadija Kopa akikamua
Ezden The Rocker, Cliford Ndimbo (Hubby wa mie) na miee

0 Maoni:

Toa Maoni