Picha aliyova jezi ya Yanga inamuonesha ametandaza misosi huku akiwa na furaha kubwa wakati ile aliyovaa jezi ya Simba anaonekana akipiga miayo kitu kilichofanya mashabiki waanze kuporomosha meneno mazito ikisadikika kuwa ni mashabiki wa Simba wakati wale wanaoonekana kuwa upande wa Yanga wakimpongeza na kummwagia sifa.
Habari hii ni kwa hisani ya www.supermariotz.blogspot.com,shuka nayo




0 Maoni:
Toa Maoni