 |
| P Diddy na Cassie |
Baada ya kudai hana mpango na mambo ya ndoa kwa sasa mwanamuziki P.Diddy mwenye miaka 44 ambaye yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka sasa na binti mrembo ambaye ni mwanamuziki Cassie(27) amepost picha ya pete ya uchumba ya gharama Instagram huku akiisindikiza na maneno matamu "Baby umeipenda? Nataka kukupatia unachotaka! Nataka kukufanya utabasamu ''...
" The caption read, 'Baby do you like it? I just want to get you wat you Like! I just wanna Mk you smile :) #takeDat. !' [sic]
Baadae mwanamuziki Keysha Cole akapost picha ya Cassie kwenye page yake akiwa kaitinga ile pete japo kuna mtandao umeandika P Diddy amekana habari hizo za kuvishana pete ya uchumba.
0 Maoni:
Toa Maoni