PICHA: Cheki mastaa wa Nigeria kabla hawajawa maarufu..


Wizkid
Kuna watu wengi wakipata umaarufu huwa wanasahau kule walikotoka,na kuna mwingine hata picha alizowahi kupiga kipindi maisha hayajawa mazuri anazichana ili watu wasizione!

Hawa ni mastaa hawa ambao ni wanamuziki kutoka nchini Nigeria ambao wame-share picha zao za zamani zinazowaonyesha jinsi walivyokuwa kabla ya kupata umaarufu..


Banky W
Don Jazzy
Haha huyu nae?

0 Maoni:

Toa Maoni