Baba Kim Kardashian aanza kufanana na mwanamke!

Aliyekuwa mume wa mwanamama mashuhuri na mtayarishaji wa kipindi cha Keeping up with the Kardashians Kris Jenner, Bruce Jenner imeripotiwa kuwa ameanza kujibadili muonekano wake na kufanana na mwanamke!

Bruce mwenye umri wa miaka 64 ambaye pia ni baba wa watoto sita (wawili kazaa na Kriss,wanne alizaa kwenye ndoa yake ya mwanzo),imedaiwa yuko katika mikakati ya kubadili jinsia yake huku TMZ ikiripoti kuwa mabadiliko yameshaanza kuanzia nywele zake zilizorefuka na kuchanwa vyema, kucha na hata maziwa yake yameanza kuchomoza! (Cheki picha chini.)


Ripoti nyingine iliyotoka kwenye Star magazine mwaka uliopita ilisema kuwa Bruce ana upande wa kike.. anapenda nywele ndefu,anapenda kufanya manicure na pedicure na huwa hatoki nyumbani bila hereni zake za almasi na hiyo ni kwa mujibu wa familia yake!

1 comment: