PICHA: Mtindo mpya wa nywele wa Balotelli

Kiungo wa AC Milan kijana mtukutu asiyeishiwa vituko, Mario Balotelli kupitia twitter account yake ameonyesha style yake mpya ya nywele.



Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 23 alifunguka ''Nimemalisha kukata nywele zangu na sasa naenda nyumbani kulala..Nani amependa mtindo wangu mpya wa nywele?''

"Just finished my hair cut! Now going home to sleep!' and 'Amos! Best barber! ;-)" He tweeted. Who likes the new hair cut?

0 Maoni:

Toa Maoni