Dume aliyejibadili kuwa mwanamke akiona cha moto..yaliyomkuta yanasikitisha!


Dunia ina mambo na ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni! Misemo hii inazidi kudhihirika kila kukicha kutokana na majanga ya binadamu wanayoendelea kuyafanya kila kukicha.

Kutana na Rajee Narinesingh( 46) mwanamama aliyezaliwa MWANAUME  lakini akataka maisha tofauti na kuamua kujibadili na kugeuka mwanamke. Baada ya kujibadili na kuwa mwanamke hakupenda tena jinsi anavyooneka kwa hiyo akaamua kufanya Plastic surgery ili kuboresha zaidi muonekano wake na hapo ndipo balaa ambalo hatalisahau maishani mwake lilipomtokea..


 Kutokana na kutokuwa na pesa ya kutosha ya kufanya upasuaji huo wa kurekebisha muonekano wake na kuongeza mvuto akaamua kutafuta madaktari wa vichochoroni wa bei rahisi  ndipo alipokumbana na dhamani ya kubandikwa bandikwa uso ambao sasa umekuwa ni kituko (Kama anavyoonekana pichani)


Daktari huyo fake aliyemfanyia upasuaji na  kumsababishia madhara Oneal Ron Morris(32) amehukumiwa mwaka huu mwezi january kwenda jela kwa miaka 8 baada ya kukiri hakuwa na leseni wala utaalamu wa kutosha zaidi ndio alikuwa anafanyia mazoezi kwenye uso wa mwanamama huyo!!

Baada ya kujitokeza hadharani amejitokeza daktari atayemsaidia kutengeza tena uso wake na kuuweka sawa.


Jamani tuwe tunamshukuru Mungu kwa vyovyote alivyotuumba, kuikosoa kazi yake ni kosa kubwa sana ambalo malipo yake huwa hapa hapa duniani kama yalivyomtokea huyo dada hapo sijui kaka.. mwenzenu hata kucheka hawezi!

0 Maoni:

Toa Maoni