Mwanamuziki mwenye mvuto kutoka Bongo Rehema Chalamila amefunguka kuwa nachanganywa sana na umbo lake la sasa kutokana na kupokea maoni tofauti kutoka kwa mashabiki sasa hajui afanyaje!
Ray C ambaye sasa amenenepa sana ameomba ushauri huo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagramn na hiki ndicho alichoandika;
Pia msanii huyu ameweka bayana kuwa atarudi mzigoni hivi karibuni kwa hiyo kaa tayari kwa ujio wake uliokuwa unasubiriwa kwa hamu kubwa.



0 Maoni:
Toa Maoni