Baada ya kuwa na taarifa kuwa Rihanna na Drake wamebwagana siku chache baada ya kuyaanika mapenzi yao hadharani, mwanadada huyo amewaziba midomo mapaparazi baada ya jana kutua jijini London na kuungana na mpenzi wake Drake katika show yake iliyofanyika 02 Arena usiku uliopita huku ushahidi wa picha ukionekana..icheki chini hapo.
Baada ya kuripotiwa wamebwagana Rihanna ajiachia kwenye show ya Drake!
Baada ya kuwa na taarifa kuwa Rihanna na Drake wamebwagana siku chache baada ya kuyaanika mapenzi yao hadharani, mwanadada huyo amewaziba midomo mapaparazi baada ya jana kutua jijini London na kuungana na mpenzi wake Drake katika show yake iliyofanyika 02 Arena usiku uliopita huku ushahidi wa picha ukionekana..icheki chini hapo.

0 Maoni:
Toa Maoni