Akiwa anafahamika kwa jina moja tu Edna,ameonekana mara kadhaa kwenye video alizoweka mwalimu wake wa mazoezi Antony Mackey na kusema 'Edna anasema siri yake ya kuwa na afya nzuri ni mazoezi na anawashauri wengine wasikubali kuwa dhaifu'
Huu ni kama ujumbe kwa vijana wenye nguvu lakini kufanya mazoezi kwao ni kama adhabu lol!
![]() |
| Bibi akijifua. |







0 Maoni:
Toa Maoni