Huku mgahawa huo ukipata umaarufu mkubwa kwa vijana na wazee, japo umezungukwa na majeneza ambayo hayafukiwa na wameeleza kwa nini imekuwa hivyo...
"Makaburi na majeneza yanaleta bahati nzuri (baraka). Biashara yetu inajaa kwa sababu ya makaburi...inawapa watu uzoefu tofauti, Tunayaweka makaburi yabaki kama yalivyokuwa na wateja wetu wanaonekana kutojali.Our business has been flourishing because of these graves. It gives people a unique experience. Tunaanza siku kwa kutoa heshima makaburini,tunayafuta, tunayafunika na nguo na tunaweka maua. Unajua ni muhimu kuheshimu waliokufa''Ama kweli dunia ina mambosana na kila siku kuna mambo mapya na ya kushangaza yanajitokeza.





Mhhh makubwa.
ReplyDelete