Cheki mdundo mpya wa Denrele Edun.. ni kiboko!

Aliyekuwa rafiki wa karibu wa mwanamuziki Goldie ambaye ni marehemu sasa na Mtangazaji wa television ya Channel O, Denrele Edun ameonyesha kiatu chake atakachokuwa anakitinga sasa na kuacha mashangao kutokana na jinsi kilivyo.



Alichokiandika Denrele baada ya kutupia mdundo wake mpya kwenye mtandao
 Denrele pia amekuwa ni maarufu kutokana na 'uchizi' wake wa mavazi anayotinga kwenye event mbalimbali anaposimama kwenye zulia jekundu kufanya mahojiano na mastaa. Cheki baadhi ya picha zake chini hapo.
Unafikiria nini kuhusu style ya mavazi ya Denrele?

0 Maoni:

Toa Maoni