![]() |
| Binti mrembo kabisa masikini! |
Muda mfupi tu baada ya kutumia Sindano hiyo ya Vaseline alijikuta katika hali mbaya na kupata tatizo la kupumua na mapafu yake kuvujwa damu lililofanya kukimbizwa hospitali haraka.
Daktari mkuu wa hospitali ya Lucio Molas ,Julio Pla alifunguka baada ya kumpokea mwanamke huyo na kusema;
'Mwanamke aliyefariki alifikishwa hapa akiwa na majeraha kwenye maziwa yake.Alikataa kabisa kusema alchofanya na baadae alikiri alitumia Vaseline kuyafanya yawe makubwa Sijawahi kukutana na tatizo kama hili...watu wengine pia wanaotumia Vaseline kama hivi wako hatarini.'Rafiki yake amesema Sonia alikuwa hafurahii muonekano wake. Kutumia aina hiyo ya injection ya vaseline hufanya maziwa au sehemu za siri kuwa kubwa ila madaktari hawashauri kwa sababu ni hatari kwa afya

Ah ulimwengu wa majanga tamaa binadamu haturidhiki na mungu alivyo tuumba mi yangu makubwa sana nataka kuyapunguza.
ReplyDelete