Davido na 'ndinga' mpya ya bei mbaya!

Mafanikio yakiwa yanazidi kumininika kwa mkali huyu kutoka nchini Nigeria,namzungumzia Davido... Baada ya miezi michache iliyopita kuvuta mkoko wa bei mbaya aina ya Mercedes Benz G-Wagon wenye thamani kubwa yaani kwa pesa za kinaigeria ni zaidi Naira milioni 30! sasa mkali huyu ametupia picha ya gari jingine jipya lenye thamani kubwa analotarajia kulimiliki,cheki picha hapo chini.


0 Maoni:

Toa Maoni