![]() |
| Khloe na French Montana |
E News wamethibitisha kuwa maana ya neno la kiarabu lililopo kwenye cheni ya Khloe ni 'Karim' ambalo jina halisi la French Montana((Karim Kharbouch)) ambaye anatokea nchini Morrocco.
Hivi karibuni wawili hao wamekuwa na ukaribu mkubwa na wameonekana wakijirusha pamoja sehemu za starehe, wakitoka pamoja kupata chakula, wamekuwa wakisafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine n.k kitu kilichoibua tetesi kuwa ni wapenzi.



0 Maoni:
Toa Maoni