Ujumbe muhimu kwa wafuatiliaji wa blog hii...pita hapa usome!

 
Habari za pasaka jamani?  Poleni kwa ukimya humu ndani japo kuna wafuatiliaji wazuri wa blog hii kiasi hata kusipokuwa na post mpya lazima wazame kuchungulia kunani! Nawathamini sana ila tu nilitingwa kidogo na majukumu.

Mamu Africa blog ndio imerudi hivyoo kikazi zaidi kwa hiyo endelea kudumbukia hapa mzigo ushaanza kupigwa kama kawaida.

Mie na kijana wangu Cole
 

1 comment: